Kanisa lautukuza msalaba alimofia Yesu Kristu alipokubali kufishwa juu yake ili kumkomboa mwanadamu .

Wanaopokea na wasiopokea wote tumemwagiliwa damu ya Yesu. Anayemkubali anaokolewa naye.

Masista wa  Mtakatifu Gemma wa Dodoma kila mwaka huadhimisha kutukuka kwa msalaba wa B.W.Y.Kristu, ambayo ndiyo siku rasmi ya kuanza kwa Shirika hili.    Wanamtukuza Mungu kwa kufanya  sherehe ya wanajubilei  katika shirika, miaka 25 na 50, wakimtukuza na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka za watawa wake.

Sista  Liliana amemshukuru Mungu kwa maisha ya miaka 50 ya maisha ya utawa tangu alipoweka nadhiri zake za kwanza Lumuma-Mpwapwa,  na leo  kwa  namna ya pekee kabisa hapo Miyuji  Dodoma.

  

                                

                Ilikuwa sherehe ya aina yake kwa vile washiriki hawa walivyo vutwa kumfurahia sista Liliana kuitangaza hekima ya Mungu  wa  Upendo na Huruma yake kwa binadamu.

The 14th of September is commemoration  for glorification of The Cross of Jesus Jesus.

If the whole world would believe and live in the way of the cross!

Then this world would  change and become  heaven by the Spirit of Jesus Christ  the King who  was crucified on the cross for us all.

Holy Spirit help us to believe in  Your cross, so that you save the whole world!!

 

 

 

 

Facebook Comments Box
Author