Sr. Florentina amenyakuliwa  kama Eliya. Alibebwa na gari la moto kwenda juu mbinguni.

Huo ni ushauri wa matendo anayotuonya Mwenyezi Mungu kwamba  NDIYE MWEZA  DAIMA HUFANYA KADIRI APENDAVYO WAKATI WO WOTE.  Tukae mkao wa kuonana naye saa yo yote.

Sr. Florentina alipokuwa Poloni Kondoa.

SR FLORENTINA HAKUPENDA AENDE KATIKA UTUKUFU PEKE YAKE.

Mwenyezi Mungu mwenye huruma  akaanza kumpa na wengine wa kundi lake katika Shirika la Mtakatifu Gemma.    Alifika tena kumchukua Sr.  Maria Gabriella.

Tunawaombea  masista wetu wote marehemu.Wapumzike kwa amani.   Amina. 

Ni nani aliye sawa nawe   Eee  Mungu Mkuu!   Nani awezaye kushindana nawe na katika LIPI!!!!!!   Hakika unaweza kweli kweli.     Amina!  Amina!  Amina.

Raha ya milele  umpe Sr. Florentina,  Sr. Gabriela!    Uwaangazishe  Uso  wako.                       Walitukuze jina lako milele milele.

Wanashirika wote tunawaombea.

Mmeruka kama njiwa kumwendea Baba  wa milele.  Na awapokee pamoja na jeshi lote la mbinguni  mumtukuze   milele.

Ee  Mungu Mwenyezi,     Mapenzi yako yatimizwe.    Aamina!

Facebook Comments Box
Author