Mama Mtakatifu sana usituache kwa sababu ya ukaidi wetu  kutoitika sauti ya Mwenyezi Mungu anapokutuma wewe kutuonya juu ya madhambi yetu.  Usiache kutuombea  Roho Mtakatifu atuangaze upofu wetu na uziwi wetu kwani   tu wagumu kupokea wala kusikia  hata kuona pia, ili tuokolewe.

Tumepofushwa macho na masikio yamezibwa, utuokoe Mama tusipotee.

Asante Mama Yetu kwa upendo wako wa milele

Facebook Comments Box
Author