Mama Dositea ameondoka

Ni wakati mwingine Masista wa Mt. Gemma wanashirikisha kwa moyo wa imani matendo makuu ya Mungu anayo endelea kuonyesha kwa wema wake kati ya watu wake waaminifu kwa kumhamisha Mama Dositea kutoka hapa chini kwenda zake mbinguni.

Kwa Rehema zake Mungu Mwenyezi astarehe kwa amani.  Amina.

Lord Our God after the long experience of Your Great Love in Sr. Dositea,  may she find in your Heavenly  Glory peace and joy  she had waited for so long.  Amen.

 

 

 

Facebook Comments Box
Author