ATUKUZWE MUNGU Na kila kiumbe po pote ! ATUKUZWE DAIMA!!! Ni salamu kati ya Malaika na Mtakatifu Gemma. Malaika alikuwa mlinzi wa Gemma kila alikokwenda hasa akiwa peke yake malaika wake hakumwacha katika hatari na yeye alimwomba daima amlinde.
Katika miaka ya mwisho yake ya mwisho, Mwenyei Mungu alimtakasa kwa njia nyingi na hata kumwachia ibilisi kumsumbua kimwili hata kiroho. Fadhila kuu iliyomlinda na kumshindia ndiyo kumtegemea Mungu katika hayo yote kwa nafsi na moyo wake wote.
WEWE NI DADA YANGU!!
Ni maneno ya Mtakatifu Gabrieli kwa Mtakatifu Gemma aliyekuwa kitandani mgonjwa sana, ambapo alipompatia Passio na akaondoka kitandani mzima.
Saint Gabriel, the arch angle, appeared to Gemma when she was helpless unable to move from bed, placed the Passio on her saying: You are my Sister.
THE
PASSIONIST FATHERS 300
THE
SAINT GEMMA SISTERS 75
MWANA WA MATESO YA YESU MSULIBWA MTAKATIFU GEMMA
PRAISE THE LORD FOR HE IS MAJESTICALLY ENTHRONED IN ETERNAL POWQER !!
MWENYEZI MUNGU ALILIUNGANISHA SHIRIKA LA MTAKATIFU GEMMA WA DODOMA NA WAPASIONIST TANGU KUANZISHWA KWAKE
2022 THE PASSIONISTS 300 years Jubilee!
2022 SAINT GEMMA SISTERS 75 years Jubilee!
JUBILAEUM!
JUBILANT!