Sr. Dr. Gemma Grace Naye ameitwa kwa milele huko MAKAO YA MILELE MBINGUNI.

Kwa ukarimu wake  Mwenyezi Mungu akupe nafasi katika ufalme wake ulitukuze jina lake pamoja na wateule wote mbinguni.

Tunamwombea huruma ya Mungu asamehewe dhambi zake ili astahilishwe kuingia katika utukufu wa milele kwa Mungu Mwenyezi pamoja na Watakatifu na  Jeshi lote la mbinguni.  Amina!

 

Mt. Gemma Galgani mwombezi na mlinzi wa Shirika la Mt. Gemma Dodoma  Utuombee!

                                   Dr.  Sr. Gemma Grace,  may you rest in peace!

 

 

 

Facebook Comments Box
Author