Chuo hiki kilianzishwa rasmi mnamo January 2006 kwamara ya kwanza. Chuo kilianza na wanafunzi ishirini mbili (22) walimu watano, wakiwepo masista wawili na walimu watatu wakiume.

  1. Ufundi ushonaji (vitendo)
  2. Ufundi nadharia
  3. Mathematics
  4. Geography
  5. English
  6. Biology

Chuo kinamaendeleo mazuri, kwani walimu wanajitahidi kutoa mafunzo kadiri ipasavyo, na wanafunzi wanafaulu katika mitihani yao.

Mapungufu tunayo mengi, lakini tunajitahidi kukabiliana nayo kadiri tuwezavyo

MTIRIRIKO WA USAJILI WA WANAFUNZI KADIRI YA MIAKA

Mwaka  2006 tulisajili wanafunzi ishirini na mbili(22).

Mwaka 2007  wanafunzi saba

Mwaka 2008 wanafunzi kumi na mbili.

Mwaka 2009 wanafunzi kumi na tatu.

Mwaka 2010 wanafunzikumi na sita.

Mwaka 2011 wanafunzi kumi na mbili.

Mwaka 2012 wanafuzi kumi na nne.

Mwaka 2013 tumesajili wanafunzi ishirini na sita. Ambao bado wanaendelea na mafunzo hapa Chuoni. Idadi ya wanafunzi wote waliopitia Chuo chrtu hiki kuanzia 2006 – 2013 ni wanafunzi mia moja na tisa (109).

Wanafunzi walikuwa wanafanya mitihani ya Veta tangu kuanzishwa kwa Chuo hadi mwaka jana 2012.

Walimu waliopo sasa ni watano.

Facebook Comments