Skip to content
Menu
  • HOME
  • About us-view updates**
    • Contacts
    • FORMATION – religious life
    • LEADERSHIP
    • MONS. STANISLAO SPIRIT
    • VISION
    • St. Gemma
    • SYNOPSIS
    • WHY : DOUBLE PATRON {ST. GEMMA GALGANI}
    • URBI at ORBI ….
  • OUR SERVICES
    • BASILIANA INFIRMATORY HOUSE
    • LUMUMA HEALTH CENTRE
    • LUMUMA HYDRO
    • MAJARIBIO
    • MIYUJI CHESHIRE HOME
    • MWALIMU NYERERE HOSTEL KONGWA
    • MOTHER HOUSE
    • ST GEMMA VOCATIONAL CENTRE
    • St. Gabriel Home
    • ST. GEMMA HOSPITAL
    • ST.GABRIEL HOME-MATEVES ARUSHA
    • ST.GEMMA BUNJU
    • St.mary’s hostel of Dodoma.
    • Training center
      • ST GEMMA GALGANI PRE AND PRIMARY SCHOOL ARUSHA
      • VOCATIONAL TRAINING
      • ST. GEMMA COMPUTING CENTRE
      • BASILIANA NURSERY SCHOOL
      • ST. IGNATIUS PREP & PRIMARY SCHOOL
    • THE POLLON ORPHANAGE CENTER
  • THE ARCH DIOCESE OF DODOMA – THE CATHEDRAL
  • Events
  • VIDEOs

Saint Gemma

Saint Gemma galgani Sisters

Menu

HYHJHG

Facebook Comments

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

NENO LA MAMA MKUU WA SHIRIKA LA MT. GEMMA GALGANI

Rev. Sr. Juliana Mwasu Materni

Bwana amefufuka Kweli Kweli Alleluya!

Utukufu una Yeye hata milele  milele!.   Alleluya!

Sisi sote tumekombolewa,  tena kwa Kifo  cha msalaba, na ufufuko wake Yesu.

Somo la Jumamosi Kuu ( Alfajiri) Bwana akashuka kuzimu, ukimya mkuu duniani,  Bwana wetu amelala,  lakini siku ya tatu alifufuka

Kifo ni kubadili makazi ya duniani kuelekea mbinguni kwa Baba.  Kristu amekaa nasi akitufundisha kupitia maandiko matakatifu, na akatujengea imani kuwa,  alivyokufa na kuzikwa na kisha kufufuka ni;

Ushindi  dhidi ya mauti!

Kristu Bwana ameachana na mauti, ni mshindi.

Tumwimbie   Alleluyaa!!   Amefufuka Bwana Alleluya!!

Nawatakieni nyote wasomaji wetu wapendwa,

HERI NYINGI KWA SIKUKUU YA PASAKA!

EVENTS

  • The Christian Community in Dodoma. 2 April 2018 April 7, 2018
  • Sr. Maria Vianey Creative Teacher – Kondoa District April 6, 2018
  • Mwanamke Shujaa! (Extinguished Woman?) 2018 April 6, 2018
  • HAPPY EASTER April 6, 2018
  • Pope Francis; A Trending True Father to all March 23, 2018
  • kwaresma 2018 March 19, 2018
April 2018
M T W T F S S
« Mar    
 1
2345678
9101112131415
16171819202122
23242526272829
30  
Proudly powered by WordPress | Theme: veayo by Phaey_Phearum.
  • Register
  • Reset Password
  • Staff mails
  • VIDEOs