MIAKA I8 YA BABA WA TAIFA MBINGUNI!

Categories: Events

MIAKA 18 MBINGUNI     14 OKTOBA ;;  1999 –  2017

BABA MUNGU! BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS NYERERE APUMZIKE KWA AMANI KATIKA MAKAO YAKO YA MILELE MBINGUNI..    AMINA!!!

BABA AMETUACHIA  AMANI YA HALI YA JUU.      TUNAWEZA KUABUDU KWA UHURU WOTE!

MUNGU HATUNA LA KUKUAMBIA  SISI  WATANZANIA.  NENO HILI TUNAKUOMBA, Ee BABA MWEMA,  UTUOKOE NA HUYU MWOVU ANAYETUCHANGANYA,  ANAYETAKA KUIGAWA NCHI YA TANZANIA, NI MDANGANYIFU WA HALI YA JUU. MWONGO MKUU!

TANZANIA YETU IMESIFIKA DUNIANI KOTE KUWA NCHI YA AMANI UPENDE KUILINDA DAIMA KWA MAOMBEZI YA MAMA MARIA!!!    AMINA.

ASSAANTE  BABA WA MBINGUNI!

MAMA MARIA UTUOMBEE  ILI SISI WATANZANIA TUWEZE KUWA NA SHUKRANI KWA MUNGU KUIENZI AMANI ALIYOUCHIA   BABA  WA  TAIFA.      AMINA.

Facebook Comments

Author: Saint Gemma

5 Responses to "MIAKA I8 YA BABA WA TAIFA MBINGUNI!"

 1. Lester04 Posted on October 22, 2017 at 7:28 pm

  I think your website needs some fresh content. Writing manually takes a lot of time, but
  there is tool for this time consuming task, search for: Ssundee advices unlimited content for
  any blog

 2. Louie04 Posted on October 24, 2017 at 4:21 am

  I think your blog needs some fresh content. Writing manually takes a lot of time, but there is tool
  for this boring task, search for: Ssundee advices unlimited content for any blog

Leave a Reply