Facebook Comments
FRANCO BADIANI PRE & PRIMARY SCHOOL
Facebook Comments
FRANCO BADIANI STAFF
The Guest of Honor Hon Simbachawene with the Mother General Sr. Juliana Materni, Archbishops representative Fr. David Ngimba, Parish Priest Don Kizito Mchana, Don Masimo, District Education officer Ms. Chakupewa and Head of the School Sr. Pastorina and The Teachers Facebook Comments
INAUGURATION MASS
The Celebration started with The Holy Mass Celebrated by Fr. David Ngimba who resented The Archbishop Beatus Kinyaiya of Dodoma, Parish priest Fr. KIZIto Mchana and Don. Masimo From Prato the birth place of the Late Fr. Franco Badian Facebook Comments
Mama Dositea Mbinguni
Mama Dositea ameondoka Ni wakati mwingine Masista wa Mt. Gemma wanashirikisha kwa moyo wa imani matendo makuu ya Mungu anayo endelea kuonyesha kwa wema wake kati ya watu wake waaminifu kwa kumhamisha Mama Dositea kutoka hapa chini kwenda zake mbinguni. Kwa Rehema zake Mungu Mwenyezi astarehe kwa amani. Amina. Lord Our God after the […]
Mama Maria wa Kibeho: Utuombee!
Mama Mtakatifu sana usituache kwa sababu ya ukaidi wetu kutoitika sauti ya Mwenyezi Mungu anapokutuma wewe kutuonya juu ya madhambi yetu. Usiache kutuombea Roho Mtakatifu atuangaze upofu wetu na uziwi wetu kwani tu wagumu kuona wala kusikia hata kuona pia. Tumepofushwa macho na masiko utuokoe Mama tusipotee. Asante Mama Yeu kwa upendo wako wa milele Facebook Comments
Where is Your Treasure!
Hazina yako iko katika kufanya yote kwa ajili ya Utukufu wa Mungu tu basi. Je unampendeza Mwenyezi Mungu katika maisha yako…kumpenda Yeye kwa kumpenda jirani yako? Hiyo ndiyo hazina yenyewe. Usiachane na Mwenyezi Mungu Lk. 12; 32-48 kwa lo lote lile!! Where is your treasure ? In heaven ? in hell? Awareness of your Heaven membership depends […]
Sr. Fulgencia In Heaven, pray for us.
Tarehe 3 July ilikuwa siku nzito kwa Masista wa Mt. Gemma wa Dodoma. Sr. Fulgencia aliaga dunia. Saa saba hivi za usiku, Mwenyezi Mungu akatua pale St. gemma Hospitali, akajichagulia tunda lake katika mti wake, yaani Shirika, na kulichuma. Ndivyo alivyoona inafaa Jimbo la Dodoma kumtukuza Yeye tu kwa mtindo aliopendelea mwenyewe […]
Massage to Graduates at St John University
St John Graduation was of full Spiritual nutrition for all who are faithful to God Almighty. The Celebrant priest was not to hesitate that now they are to serve people where they will be, what ever kind of life they are to real serve as JESUS Christ Him self served until he died on […]
Sr Catherina Mbinguni
Heri yao hao walio lala katika Bwana, Wamekwepa mshale wa adui mwovu hapa duniani. Wapumzika na kuimba utukufu usio na mwisho mbinguni… Amina. Raha ya milele umpe Sr. Catherina. Amina. Facebook Comments